John 12:34

34 aUle umati wa watu ukapiga kelele ukasema, “Tumesikia kutoka Torati kwamba ‘Al-Masihi
Al-Masihi maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta.
adumu milele,’ wewe wawezaje kusema, ‘Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa juu?’ Huyu ‘Mwana wa Adamu ni nani?’ ”

Copyright information for SwhKC